Matangazo
● Toleo la fasihi la Juni: Mankind’s Search for God au Usalama Ulimwenguni Pote Chini ya Mwana-Mfalme wa Amani katika Kiswahili. Julai na Agosti: Broshua yoyote ya kurasa 32, isipokuwa broshua Shule. Septemba: Life—How Did It Get Here? By Evolution or by Creation?
● Mwangalizi msimamizi au mtu mwingine aliyegawiwa naye akague hesabu za kundi katika Juni 1 au upesi iwezekanavyo baada ya hapo.
● Masanduku ya michango kwenye Jumba la Ufalme yapaswa kutambulishwa waziwazi. Unapotoa michango, hakikisha umeiweka katika masanduku yafaayo—kwa ajili ya hazina ya ujenzi au kwa ajili ya mahitaji ya kundi lenu. Wazee wahakikishe kwamba masanduku yameandikwa kwa unadhifu na yako katika hali nzuri.
● Vichapo Vinavyotazamiwa Karibuni:
1990 Watchtower Bound Volumes —Kiingereza, Kifaransa
1990 Awake! Bound Volumes —Kiingereza, Kifaransa
1991 Yearbook —Kiingereza
Our Problems—Who Will Help
Us Solve Them? (Hii ni broshua ya rangi 4, ya kurasa 32 kwa ajili ya Wahindu.) —Kiingereza
Kuyachunguza Maandiko Kila
Siku 1991 —Kifaransa
Kalenda 1991 —Kifaransa
Damu Yaweza Kuokoaje Uhai Wako? —Kiswahili
Tumefanywa Tengenezo Tutimize Huduma Yetu —Kiswahili
Furahia Milele Maisha Duniani —Kiswahili
● Visivyopatikana Akibani Tena:
Unaweza Kuishi Milele Katika Paradiso Duniani —Kiswahili
Mihtasari ya Hotuba za Watu Wote —Kiingereza, Kiswahili
● Kaseti Mpya za Sauti Zinazopatikana:
Kingdom Melodies Na. 3 (iliyosahihishwa; kaseti moja ya sauti) Huu ni mrekodio mpya unaotoa mipangilio mipya ya nyimbo kutoka kitabu cha nyimbo cha 1984. Kaseti hizo za sauti zina vibandiko vya Kiingereza au Kihispania.