Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 7/92 uku. 3
  • Matangazo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Matangazo
  • Huduma Yetu ya Ufalme—1992
Huduma Yetu ya Ufalme—1992
km 7/92 uku. 3

Matangazo

◼ Toleo la fasihi kwa Julai: Yoyote ya broshua zifuatazo: Furahia Milele Maisha Duniani!, “Tazama! Mimi Ninafanya Vitu Vyote Kuwa Vipya,” Je! Uamini Utatu?, Jina la Mungu Litakaloendelea Milele, au Serikali Itakayoleta Paradiso. Agosti: Unaweza Kuishi Milele Katika Paradiso Duniani. Septemba: Life—How Did It Get Here? By Evolution or by Creation? au Unaweza Kuishi Milele Katika Paradiso Duniani. Oktoba: Uandikishaji wa Amkeni! au Mnara wa Mlinzi au yote mawili. ANGALIA: Makundi ambayo bado hayajaagiza vifaa vya kampeni vilivyotajwa juu yapaswa yafanye hivyo kwenye Fomu ya Agizo la Vitabu (S-14-SW) ya mwezi utakaofuata.

◼ Kuanzia Septemba katika sehemu nyingi, waangalizi wa mzunguko watatoa hotuba ya watu wote “Kujitakasa Wenyewe na Mambo Yanayochafua ya Ulimwengu.”

◼ Tarehe na mahali panapotarajiwa kufanyiwa “Wachukuaji Nuru” Mkusanyiko wa Wilaya wa 1992:

Novemba 6-8, 1992: Asmara

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki