Ripoti Ya Utumishi Ya Agosti
Wast. Wast. Wast. Wast.
Idadi ya: Saa Mag. Z. K. Maf. Bi.
E
Pai. Pekee 50 135.6 1.9 57.9 7.4
Mapai. 307 82.5 1.2 31.4 4.0
Pai. Msai. 466 66.4 0.2 17.3 2.0
Wahu. 3,064 18.0 0.1 5.9 0.9
JUMLA 3,887 Kilele Kipya: 3,887
K
Pai. Pekee 198 138.6 30.0 51.5 8.9
Mapai. 752 73.3 13.7 21.4 4.2
Pai. Msai. 581 61.0 12.5 14.5 2.6
Wahu. 5,516 16.8 3.6 5.2 1.1
JUMLA 7,047 Kilele Kipya: 7,047
R
Pai. Pekee 50 144.1 9.4 80.0 9.0
Mapai. 221 83.5 2.7 50.7 6.6
Pai. Msai. 358 67.3 3.0 39.2 4.9
Wahu. 1,036 29.9 1.2 17.8 2.7
JUMLA 1,665 Kilele Kipya: 1,665
S
Pai. Msai. 31 65.3 15.7 36.0 4.5
Wahu. — 22.7 6.5 12.1 2.1
T
Pai. Pekee 123 143.7 31.3 60.7 8.4
Mapai. 490 79.0 12.4 27.3 3.6
Pai. Msai. 305 61.8 11.8 18.3 2.6
Wahu. 3,835 14.7 2.4 5.4 0.7
JUMLA 4,753 Kilele Kipya: 4,425
U
Pai. Pekee 55 136.6 33.1 55.7 9.4
Mapai. 82 67.3 22.8 28.9 5.6
Pai. Msai. 60 62.7 14.4 24.0 4.0
Wahu. 802 15.5 3.4 7.3 1.7
JUMLA 999 Kilele Kipya: 999
Huo ulikuwa mwaka wa utumishi mzuri ajabu kama nini! Kama mjuavyo, kazi ilifunguka katika nchi kadhaa na akina ndugu wametumia kwa kujifaidi nafasi zilizoongezeka za kushiriki katika utendaji wa kitheokrasi. Ripoti ya mwaka inaonyesha kwamba wale wahubiri 18,603 (ongezeko la asilimia 16) walitumia saa zaidi ya milioni 6 (ongezeko la asilimia 20) hudumani na kuongoza wastani wa mafunzo ya Biblia nyumbani 29,750 (ongezeko la asilimia 22). Jumla ya watu 59,194 (ongezeko la asilimia 28) walihudhuria Ukumbusho na 2,177 wakabatizwa katika mwaka huo. Kulikuwako ongezeko la asilimia 23 katika mapainia waliokuwa shambani kukiwa na wastani wa 3,852 wakishiriki katika utumishi wa wakati wote kila mwezi. Kila sehemu ya ripoti hiyo ni yenye kusisimua na yaonyesha uwezekano wa ongezeko zaidi. Yehova kwa hakika alibariki jitihada zenu za bidii nyendelevu katika mwaka uliopita na tunaendelea kumwomba Yeye atuagize na kuungamanisha mioyo yetu tunapojitahidi kutembea katika kweli wakati wa mwaka wa utumishi wa 1993.—Zab. 86:11.