Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 6/94 uku. 3
  • Habari Za Kitheokrasi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Habari Za Kitheokrasi
  • Huduma Yetu ya Ufalme—1994
Huduma Yetu ya Ufalme—1994
km 6/94 uku. 3

Habari Za Kitheokrasi

Angola: Wakati wa mwezi Desemba, jumla ya maangusho ya magazeti iliongezeka zaidi ya 10,000 kutoka kwenye kilele cha wakati wote kilichotangulia. Wale wahubiri 21,965 wanaongoza mafunzo ya Biblia 60,691.

Latvia: Kazi yaendelea kusonga mbele katika Latvia. Desemba uliopita kilele cha wahubiri 577 waliripoti.

Programu za kuweka wakfu Majumba ya Ufalme zilifanywa hivi karibuni kwa ajili ya makutaniko yafuatayo: Akaki, Ethiopia, Machame, Tanzania, na Kampala East, Uganda.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki