Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 11/94 uku. 3
  • Matangazo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Matangazo
  • Huduma Yetu ya Ufalme—1994
Huduma Yetu ya Ufalme—1994
km 11/94 uku. 3

Matangazo

◼ Fasihi itakayotumiwa wakati wa Novemba: New World Translation of the Holy Scriptures pamoja na kitabu Biblia—Neno la Mungu au la Binadamu? Desemba: Yule Mtu Mkuu Zaidi Aliyepata Kuishi. Januari: Kitabu chochote cha kurasa 192 kilichochapwa kabla ya 1982 ambacho huenda kutaniko likawa na akiba yacho. Makutaniko ambayo hayana vitabu vya zamani akibani yatatoa Amani na Usalama wa Kweli—Wewe Unaweza Kuupataje? Februari: Unaweza Kuishi Milele Katika Paradiso Duniani. Maangusho ya kitabu hiki yapasa kufuatwa na ziara za kurudia, na jitihada zapasa kufanywa ili kuanzisha mafunzo ya Biblia. TAARIFA: Makutaniko ambayo bado hayajaagiza vifaa vya kampeni vilivyotajwa juu yapaswa yaviagize kwenye Agizo la Fasihi (S-14-SW) lao la kila mwezi litakalofuata. Vichapo hivyo vya kabla ya 1982 vilivyotajwa hapo juu havipatikani katika tawi.

◼ Kuanzia toleo Januari 1, 1995, Sosaiti itatokeza mirekodio ya kaseti za Mnara wa Mlinzi katika lugha ya Kihispania. Maandikisho yapaswa kuagizwa kupitia kutaniko.

◼ Vichapo Vipywa Vinavyopatikana:

Gujarati: Faraja kwa Walioshuka Moyo (Trakti Na. 20). Kiarabu: Mwimbieni Yehova Sifa (Kikubwa).

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki