Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 3/95 uku. 3
  • Matangazo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Matangazo
  • Huduma Yetu ya Ufalme—1995
Huduma Yetu ya Ufalme—1995
km 3/95 uku. 3

Matangazo

◼ Fasihi itakayotolewa wakati wa Machi: Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu! Aprili na Mei: Maandikisho ya Mnara wa Mlinzi na Amkeni! Juni: Life—How Did It Get Here? By Evolution or by Creation? TAARIFA: Makutaniko ambayo bado hayajaagiza vifaa vya kampeni vilivyotajwa juu yapaswa kufanya hivyo kwenye Agizo la Fasihi (S-14-SW) lao la kila mwezi litakalofuata.

◼ Mwangalizi-msimamizi au mtu yeyote aliyechaguliwa naye apaswa kukagua hesabu za kutaniko mnamo Machi 1 au upesi iwezekanavyo baada ya hapo. Tangazia kutaniko hilo lifanywapo.

◼ Mwandishi na ndugu anayeshughulika na hesabu za kutaniko wanaombwa kwa fadhili wahesabu kihalisi maombi ya kupunguziwa bei ya mapainia na kuorodhesha hayo kama vile iombwavyo kwenye fomu ya S-20-SW inayotumiwa sasa.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki