Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 5/95 uku. 7
  • Matangazo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Matangazo
  • Huduma Yetu ya Ufalme—1995
Huduma Yetu ya Ufalme—1995
km 5/95 uku. 7

Matangazo

◼ Fasihi ya kutumiwa wakati wa Mei: Maandikisho ya Mnara wa Mlinzi na Amkeni! Kwa eneo linalohubiriwa mara nyingi, broshua yoyote (isipokuwa broshua Shule) yaweza kutumiwa. Juni: Life—How Did It Get Here? By Evolution or by Creation? Katika Kiswahili tumia Biblia—Neno la Mungu au la Binadamu? Julai na Agosti: Yoyote ya broshua zifuatazo zenye kurasa 32 yaweza kutumiwa: Furahia Milele Maisha Duniani!, Je! Kweli Mungu Anatujali?, Je! Uamini Utatu?, Jina la Mungu Litakaloendelea Milele, Mtu Fulani Umpendaye Anapokufa, Ni Nini Lililo Kusudi la Uhai?, Serikali Itakayoleta Paradiso, na “Tazama! Mimi Ninafanya Vitu Vyote Kuwa Vipya.” TAARIFA: Makutaniko ambayo bado hayajaagiza vifaa vya kampeni vilivyotajwa juu yapaswa kufanya hivyo katika Agizo la Fasihi lao (S-14-SW) la kila mwezi litakalofuata.

◼ Uchapishaji wa Kitabu-Mwaka cha Mashahidi wa Yehova katika Kiswahili umeachishwa.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki