Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 7/95 uku. 3
  • Habari Za Kitheokrasi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Habari Za Kitheokrasi
  • Huduma Yetu ya Ufalme—1995
Huduma Yetu ya Ufalme—1995
km 7/95 uku. 3

Habari Za Kitheokrasi

Ethiopia: Kulikuwa na wahubiri 4,587 wakiripoti katika Februari. Hiki kilikuwa kilele kipya. Majumba ya Ufalme mawili yaliwekwa wakfu huko mwezi huo.

Filipino: Kilele kipya cha wahubiri 119,549 kiliripoti katika Februari.

Rwanda: “Hofu ya Kimungu” Mkusanyiko wa Wilaya ulifanywa majuzi kwa vikundi vidogo-vidogo kukiwa na jumla ya hudhurio la 6,062, na 178 wakabatizwa.

Saiprasi: Kilele kipya cha wahubiri 1,626 kilifikiwa katika Februari. Hudhurio lao la siku ya kusanyiko la pekee lilikuwa 2,249.

Trinidad: Kilele kipya cha wahubiri 6,786 kiliripoti katika Februari.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki