Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 7/96 uku. 3
  • Matangazo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Matangazo
  • Huduma Yetu ya Ufalme—1996
Huduma Yetu ya Ufalme—1996
km 7/96 uku. 3

Matangazo

◼ Toleo la fasihi kwa Julai na Agosti: Yoyote ya broshua zenye kurasa 32 zifuatazo: Furahia Milele Maisha Duniani!, Je! Kweli Mungu Anatujali?, Je! Uamini Utatu?, Mtu Fulani Umpendaye Anapokufa, Ni Nini Lililo Kusudi la Uhai—Wewe Waweza Kulipataje?, Serikali Itakayoleta Paradiso, na “Tazama! Mimi Ninafanya Vitu Vyote Kuwa Vipya.” Mahali panapofaa, broshua kama vile Je! Ulimwengu Usio na Vita Utakuwako Wakati Wowote?, Roho za Wafu—Je! Zaweza Kukusaidia au Kukuumiza? Je! Ziko Kweli?, na Our Problems—Who Will Help Us Solve Them? zaweza kutolewa. Inadokezwa kwamba kitabu Kuishi Milele kitolewe tunapohubiri eneo lililo pekee na lisilohubiriwa mara nyingi. Septemba: Kufanya Maisha ya Jamaa Yako Yawe Yenye Furaha. Oktoba: Maandikisho ya Mnara wa Mlinzi na Amkeni! Mahali ambapo andikisho halikubaliwi, toa magazeti yote mawili kwa mchango wa kawaida.

◼ Kama ilivyoonyeshwa katika Huduma ya Ufalme Yetu ya Juni 1996, kuhesabiwa kwa fasihi kwa kila mwaka hakutafanywa tena Septemba 1 kila mwaka. Habari hii itatakikana Januari 1 kila mwaka. Hivyo, Orodha ya Fasihi S-AB-18-SW, itapelekwa kwa makutaniko mwezi wa Novemba. Tafadhali panga kuwe kuhesabu kihalisi fasihi zilizopo mwishoni mwa Desemba na si Agosti kulingana na rekebisho hili.

◼ Kadi Utambulisho wa Mhubiri, S-65-SW, yaweza kuagizwa kutoka ofisi ya tawi.

◼ Kuanzia Septemba, waangalizi wa mzunguko watatoa hotuba ya watu wote yenye kichwa “Ni Nani Aliye Kama Yehova Mungu Wetu?”

◼ Kaseti za Amkeni! na Mnara wa Mlinzi sasa zitatokezwa katika Kifinland.

◼ Matoleo ya baada ya kila miezi mitatu ya Amkeni! sasa yanapatikana katika Kilatvia na Kilithuania.

◼ Vichapo Vinavyopatikana

Mabuku yaliyojalidiwa ya Mnara wa Mlinzi kwa miaka ya 1951, 1952, 1953, 1954, na 1955 —Kiingereza

Mabuku yaliyojalidiwa ya Amkeni! ya mwaka wa 1995 —Kiingereza

Furaha Namna ya Kuipata —Kichina

Kitabu Changu cha Hadithi za Biblia

(chapa kubwa) —Kihindi

Kitabu Changu cha Hadithi za Biblia (chapa ndogo) —Kipunjabi

Kitabu-Mwaka cha Mashahidi wa Yehova cha 1996 —Kiingereza

Maswali Ambayo Vijana Huuliza—Majibu Yafanyayo Kazi —Kigujarati

Our Problems Who Will Help Us Solve Them? —Kipunjabi

Serikali Itakayoleta Paradiso —Kichina

“Tazama! Mimi Ninafanya Vitu Vyote Kuwa Vipya” —Kichina

Unaweza Kuishi Milele Katika Paradiso Duniani (chapa ndogo) —Kipunjabi

◼ Vidiokaseti Zinazopatikana:

Ujuzi Uongozao Kwenye Uhai Udumuo Milele (Buku la kwanza, sura 1-3) —Lugha ya Ishara ya Kimarekani

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki