Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 1/98 uku. 3
  • Habari Za Kitheokrasi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Habari Za Kitheokrasi
  • Huduma Yetu ya Ufalme—1998
Huduma Yetu ya Ufalme—1998
km 1/98 uku. 3

Habari Za Kitheokrasi

Kuwekwa Wakfu kwa Ofisi ya Tawi: Jumamosi, Oktoba 25, 1997, ndugu 1,697 kutoka nchi 26 walihudhuria programu ya pekee ya kuwekwa wakfu kwa ofisi ya tawi mpya Nairobi. Programu hiyo ilirudiwa Jumapili, Oktoba 26, 1997, kwenye Jamhuri Park, Nairobi na watu 10,145 walihudhuria. Ilikuwa shangwe kukutana na kushirikiana na watu wa zamani katika eneo letu na kutoka nchi nyinginezo. Kwa kweli kulikuwako na kitia-moyo kwa wote. Wale wanaotaka kuzuru Betheli mpya wanakaribishwa kufanya hivyo wakati wa saa za kazi za Betheli.

Jumba la Ufalme: Jumba la Ufalme la Mbeya Ruanda katika Tanzania liliwekwa wakfu hivi majuzi.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki