Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 11/98 uku. 7
  • Kikumbusha

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kikumbusha
  • Huduma Yetu ya Ufalme—1998
Huduma Yetu ya Ufalme—1998
km 11/98 uku. 7

Kikumbusha

Nyongeza za Huduma ya Ufalme Yetu ya Novemba 1990 na ya Septemba 1992 zilitolewa ili mwandishi aweze kuwa nazo tayari kuwapa watu wapya waliobatizwa. Nyongeza hizo zaweza kupatikana mara tu baada ya ubatizo pamoja na Mwelekezo wa Mapema Kuhusu Tiba/Ondoleo la Hatia. (Pia, kama watu waliotoka kubatizwa wana watoto wasiobatizwa, mwaweza kuwajulisha juu ya Kitambulisho ambacho wazazi wengi hutumia kwa watoto wao.) Chukueni wakati fulani kuwaeleza ndugu na dada wapya matumizi na thamani ya kadi hizi. Kwa kuongezea, wazee wanapopitia maswali ya ubatizo na wataka-kubatizwa juu ya damu kutoka katika kitabu Tumefanywa Tengenezo Tutimize Huduma Yetu, ukurasa wa 190-191, kadi hizo zaweza kutajwa, na mtaka-kubatizwa anaweza kuambiwa kwamba atazipokea baada ya kubatizwa. Ikiwa kuna watu wowote waliobatizwa tangu mwanzo wa mwaka huu ambao hawajapokea nyongeza na kadi hizi, tafadhali hakikisheni kwamba wanapokea habari hii muhimu.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki