Matangazo
◼ Toleo la vichapo la Juni: Mungu Anataka Tufanye Nini? Kazia kuanzisha mafunzo ya Biblia ya nyumbani. Julai na Agosti: Broshua zozote zifuatazo zenye kurasa 32 zaweza kutumiwa: Furahia Milele Maisha Duniani!, Je! Kweli Mungu Anatujali?, Je! Uamini Utatu?, Jina la Mungu Litakaloendelea Milele, Mtu Fulani Umpendaye Anapokufa, Ni Nini Hutupata Tunapokufa?, Ni Nini Lililo Kusudi la Uhai—Wewe Waweza Kulipataje? na Serikali Itakayoleta Paradiso. Broshua Kitabu kwa Ajili ya Watu Wote, Roho za Wafu—Je, Zaweza Kutusaidia au Kutuumiza? Je, Ziko Kweli?, na Je! Ulimwengu Usio na Vita Utakuwako Wakati Wowote? zaweza kutolewa mahali panapozifaa. Pia vijitabu Habari Njema Hizi za Ufalme na Roho Zisizoonekana vyaweza kutumiwa miezi hii. Septemba: Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
◼ Kadi (postikadi) za Ofisi ya Tawi ya Kenya sasa zapatikana katika Kiingereza.
◼ Vichapo Vinavyopatikana:
Kitabu Changu cha Hadithi za
Biblia —Kiingereza, Kiswahili
Mungu Anataka Tufanye Nini?
—Kiingereza, Kijaluo
Mwimbieni Yehova Sifa (ndogo)
—Kiingereza, Kiswahili
Yesu Kristo—Yeye Ni Nani?
(Trakti Na. 23) —Kiingereza
Elementary Bible Teachings
—Punjabi
How to Start and Continue
Studies —Punjabi
Insight on the Scriptures
—Kiingereza
New World Translation of the Holy Scriptures (toleo la saizi ya mfukoni) —Kiingereza
New World Translation of the Holy Scriptures (toleo la kawaida) —Kiingereza
Mabuku yaliyojalidiwa ya Watchtower na Awake!, 1999
—Kiingereza