Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 6/01 uku. 7
  • Matangazo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Matangazo
  • Huduma Yetu ya Ufalme—2001
Huduma Yetu ya Ufalme—2001
km 6/01 uku. 7

Matangazo

◼ Toleo la vichapo la Juni: Mungu Anataka Tufanye Nini? au Ujuzi Uongozao Kwenye Uhai Udumuo Milele. Jitahidi kuanzisha mafunzo ya Biblia ya nyumbani. Julai na Agosti: Broshua yoyote kati ya broshua zifuatazo zenye kurasa 32 yaweza kutolewa: Furahia Milele Maisha Duniani!, Je! Kweli Mungu Anatujali?, Je! Uamini Utatu?, Jina la Mungu Litakaloendelea Milele, Mtu Fulani Umpendaye Anapokufa, Ni Nini Hutupata Tunapokufa?, Ni Nini Lililo Kusudi la Uhai—Wewe Waweza Kulipataje?, Serikali Itakayoleta Paradiso, na “Tazama! Mimi Ninafanya Vitu Vyote Kuwa Vipya.” Broshua Je! Ulimwengu Usio na Vita Utakuwako Wakati Wowote?, Kitabu kwa Ajili ya Watu Wote, Roho za Wafu—Je! Zaweza Kukusaidia au Kukuumiza? Je! Ziko Kweli?, na Our Problems—Who Will Help Us Solve Them? zaweza kutolewa mahali panapozifaa. Kijitabu Roho Zisizoonekana na vitabu Jitihada ya Ainabinadamu ya Kutafuta Mungu na Vijana Huuliza vitatolewa pia. Septemba: Yule Mtu Mkuu Zaidi Aliyepata Kuishi, Unaweza Kuishi Milele Katika Paradiso Duniani, na Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!

◼ Kwa walimu ambao wanapendezwa zaidi na video Jehovah’s Witnesses Stand Firm Against Nazi Assault au ambao hufunza watu juu ya yale Maangamizi Makubwa, kuna toleo fupi la dakika 28 na kijitabu chenye kurasa 56 cha mafunzo ya video hiyo. Ijapokuwa vifaa hivi havichapishwi na Watchtower Society, walimu au wanafunzi wanaweza kuomba habari ya jinsi ya kuvipata kwa kuandikia ofisi ya tawi.

◼ Mkusanyiko mfupi wa Kilukonjo utafanywa huko Rusese Bwera, Uganda, Septemba 15 na 16, 2001.

◼ Vichapo Vipya Vinavyopatikana:

Does Fate Rule Our Lives?—Or Does God Hold Us Responsible? (kwa Waislamu) (Trakti Na. 71)

—Kiingereza

From Kurukshetra to Armageddon—And Your Survival —Kihindi

◼ Videokaseti Mpya Zinazopatikana:

No Blood—Medicine Meets the Challenge —Kiingereza

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki