Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 11/06 uku. 7
  • Matangazo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Matangazo
  • Huduma ya Ufalme—2006
Huduma ya Ufalme—2006
km 11/06 uku. 7

Matangazo

◼ Toleo la Novemba: Jifunze Kutoka kwa Mwalimu Mkuu. Mwenye nyumba akisema hana watoto, mtolee trakti, Je, Ungependa Kujua Mengi Zaidi Kuhusu Biblia? au trakti nyingine inayofaa au kitabu Ujuzi. Desemba: Tutatoa kitabu Yule Mtu Mkuu Zaidi Aliyepata Kuishi. Au tunaweza kutoa chochote kati ya vichapo vifuatavyo: Biblia—Neno la Mungu au la Binadamu?, Kitabu Changu cha Hadithi za Biblia, Unaweza Kuishi Milele Katika Paradiso Duniani. Januari 2007: Tutatoa kitabu chochote chenye kurasa 192 ambacho kina karatasi zinazobadilika rangi au kuwa manjano, au kitabu chochote kilichochapishwa kabla ya mwaka wa 1991. Pia kitabu Ujuzi au broshua Endeleeni Kukesha! inaweza kutolewa. Februari: Kitabu Mkaribie Yehova na kitabu Ujuzi kitatolewa pia.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki