Habari Kuu za Utumishi wa Shambani
Kenya: Katika mwezi wa Desemba kulikuwa na kilele kipya cha wahubiri 22,281, na kilele cha mapainia wa kawaida 2,457. Pia kulikuwa na kilele kipya cha saa 533,189. Hakujakuwa na kilele kipya cha wahubiri tangu Agosti mwaka wa 2007.
Uganda: Kulikuwa na kilele kipya cha wahubiri 4,766 walioripoti mwezi wa Desemba 2008, na walitumia muda wa saa 123,018 katika huduma ya Kikristo. Hiki pia ni kilele kipya.