Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 12/12 uku. 8
  • Habari Kuu za Utumishi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Habari Kuu za Utumishi
  • Huduma Yetu ya Ufalme—2012
Huduma Yetu ya Ufalme—2012
km 12/12 uku. 8

Habari Kuu za Utumishi

Uganda: Kilele kipya cha wahubiri kilifikiwa katika mwezi wa Julai wahubiri 5,859 walipotoa ripoti zao za utumishi wa shambani. Hilo ni ongezeko lenye kutia moyo la asilimia 10 ikilinganishwa na mwezi wa Julai mwaka uliotangulia. Hiki ni kilele kipya cha nne cha wahubiri kilichofikiwa katika mwaka huo wa utumishi. Pia, kulikuwa na kilele kipya cha magazeti 100,991 yaliyotolewa katika utumishi wa shambani. Kwa wastani kila mhubiri wa kutaniko alihubiri saa 14.1 mwezi wa Julai.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki