Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 10/14 uku. 4
  • Habari Kuu za Utumishi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Habari Kuu za Utumishi
  • Huduma Yetu ya Ufalme—2014
Huduma Yetu ya Ufalme—2014
km 10/14 uku. 4

Habari Kuu za Utumishi

Kenya: Katika mwezi wa Aprili kulikuwa na kilele cha mapainia wa kawaida 3,091, jumla ya wahubiri 26,448, na mafunzo ya Biblia 45,496.

Sudan: Kulikuwa na ongezeko la asilimia 22 la wahubiri kwa kulinganishwa na wastani wa mwaka uliopita.

Sudan Kusini: Kulikuwa na vilele vipya katika mwezi wa Aprili wa vijitabu, broshua na trakti 16,077, saa 30,570, na ziara za kurudia 25,494.

Tanzania: Ilipendeza kuona kwamba mapainia wasaidizi 1,737 na mapainia wa kawaida 1,390 walitoa ripoti mwezi wa Aprili na mafunzo ya Biblia 31,000 hivi, yaliongozwa.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki