Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 12/14 uku. 8
  • Habari Kuu za Utumishi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Habari Kuu za Utumishi
  • Huduma Yetu ya Ufalme—2014
Huduma Yetu ya Ufalme—2014
km 12/14 uku. 8

Habari Kuu za Utumishi

Kenya: Katika mwezi wa Julai kulikuwa na kilele kipya cha mafunzo ya Biblia 46,565.

Kwenye Kusanyiko la Eneo lililofanywa Kisumu kwa lugha ya Kijaluo mwezi wa Agosti, Biblia Takatifu Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ilitolewa na Ndugu Stephen Lett wa Baraza Linaloongoza mbele ya wahudhuriaji wenye shangwe 2,400 hivi. Makusanyiko mengine yaliyokuwa yakifanywa wakati huo yaliunganishwa kupitia mfumo wa sauti na kufanya jumla ya wahudhuriaji kuwa zaidi ya 14,000.

Sudan: Ripoti ya mwezi wa Julai ilionyesha ongezeko la asilimia 23 ya idadi ya wahubiri ukilinganisha na wastani wa mwaka uliopita.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki