Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb16 Machi uku. 2
  • Machi 7-13

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Machi 7-13
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
mwb16 Machi uku. 2

Machi 7-13

ESTA 6-10

  • Wimbo 131 na Sala

  • Utangulizi (Isizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Esta Alimtanguliza Yehova na Watu Wake”: (Dak. 10)

    • Est 8:3, 4—Ingawa Esta alikuwa salama, alihatarisha uhai wake kwa ajili ya wengine (ia 143 ¶24-25)

    • Est 8:5—Esta alitumia busara alipozungumza na Ahasuero (w06 3/1 11 ¶8)

    • Est 8:17—Watu wengi waligeuzwa imani na kuwa wafuasi wa dini ya Wayahudi (w06 3/1 11 ¶3)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Est 8:1, 2—Unabii wa Yakobo alipokaribia kufa ulitimizwaje kuhusiana na Benyamini ‘kugawanya nyara jioni’? (ia 142, sanduku)

    • Est 9:10, 15, 16—Ingawa amri iliidhinisha kupora nyara, kwa nini Wayahudi hawakuzichukua? (w06 3/1 11 ¶4)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili unanifundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni mambo gani katika usomaji wa Biblia wa juma hili ninayoweza kutumia katika huduma ya shambani?

  • Usomaji wa Biblia: Est 8:1-9 (Isizidi dak. 4)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Uwe Tayari Kutoa Machapisho Mwezi Huu: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video za mapendekezo kwa ajili ya utumishi, halafu uzungumzie mambo makuu. Baada ya hapo, zungumzia makala yenye kichwa: “Kuboresha Ustadi Wetu Katika Huduma—Tayarisha Utangulizi Wako wa Kutoa Gazeti.” Ikiwa video hizo hazipatikani, panga kuwe na onyesho.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 118

  • “Karibisha Wageni”: (Dak. 15) Mazungumzo. Waombe wahubiri waeleze mambo mazuri waliyoona walipochukua hatua ya kwanza kuwakaribisha wageni katika Ukumbusho uliopita. Panga kuwe na onyesho la jambo lililoonwa lenye kutia moyo.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: ia sura ya 10 ¶12-21, mambo ya kufikiria kwenye uku. 91 (Dak. 30)

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza, na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 147 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki