Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb16 Juni uku. 2
  • Juni 6-12

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Juni 6-12
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
mwb16 Juni uku. 2

Juni 6-12

ZABURI 34-37

  • Wimbo 95 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Mtegemee Yehova na Ufanye Mema”: (Dak. 10)

    • Zb 37:1, 2—Kazia fikira kumtumikia Yehova, na si yale yanayoonekana kuwa mafanikio ya wanaofanya mambo yasiyo ya uadilifu (w03 12/1 9-10 ¶3-6)

    • Zb 37:3-6—Mtegemee Yehova, fanya mema, na ubarikiwe (w03 12/1 10-12 ¶7-15)

    • Zb 37:7-11—Ngojea kwa subira hadi Yehova atakapowaondoa waovu (w03 12/1 13 ¶16-20)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Zb 34:18—Yehova anawatendeaje wale “waliovunjika moyo” na “waliopondwa roho”? (w11 6/1 19)

    • Zb 34:20—Unabii huu ulitimia jinsi gani kuhusiana na Yesu? (w13 12/15 21 ¶19)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili unanifundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni mambo gani katika usomaji wa Biblia wa juma hili ninayoweza kutumia katika huduma ya shambani?

  • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Zb 35:19–36:12

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Uwe Tayari Kutoa Machapisho Mwezi Huu: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video za mapendekezo kwa ajili ya utumishi, halafu mzungumzie mambo makuu. Watie moyo wahubiri waandike utangulizi wao. Ikiwa video hizo hazipatikani, panga kuwe na onyesho.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 93

  • “Kuboresha Ustadi Wetu Katika Huduma—Tumia Video Kufundisha”: (Dak. 15) Mazungumzo. Ili kukazia mambo makuu katika kichwa kidogo “Jinsi ya Kufanya Hivyo,” tumia video Ni Nani Aliyeitunga Biblia? inayopatikana kwenye jw.org/sw. (Tafuta kwenye MACHAPISHO > VITABU NA BROSHUA. Kisha nenda kwenye broshua Habari Njema. Video inapatikana katika somo lenye kichwa “Je, Kweli Habari Njema Imetoka kwa Mungu?”)

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) ia sura ya 17 ¶1-13

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza, na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 61 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki