Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb16 Julai uku. 4
  • Julai 11-17

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Julai 11-17
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
mwb16 Julai uku. 4

Julai 11-17

ZABURI 69-73

  • Wimbo 92 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Watu wa Yehova Ni Wenye Bidii kwa Ajili ya Ibada ya Kweli”: (Dak. 10)

    • Zb 69:9—Bidii yetu kwa ajili ya ibada ya kweli inapaswa kuonekana waziwazi (w10 12/15 7-11 ¶2-17)

    • Zb 71:17, 18—Wenye umri mkubwa wanaweza kuwasaidia vijana kuwa wenye bidii (w14 1/15 23-24 ¶4-10)

    • Zb 72:3, 12, 14, 16-19—Bidii yetu inatuchochea kuwaeleza wengine yale ambayo Ufalme utawafanyia wanadamu (w15 10/1 16 ¶3; w10 8/15 32 ¶19-20)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Zb 69:4, 21—Unabii unaotajwa katika mistari hii ulitimizwaje na Masihi? (w11 8/15 11 ¶17; w11 8/15 15 ¶15)

    • Zb 73:24—Ni kwa njia gani Yehova anawaongoza watumishi wake wapate utukufu? (w13 2/15 25-26 ¶3-4)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili unanifundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni mambo gani katika usomaji wa Biblia wa juma hili ninayoweza kutumia katika huduma ya shambani?

  • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Zb 73:1-28

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) wp16.4 jalada—Weka msingi wa ziara ya kurudia.

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) wp16.4 jalada

  • Funzo la Biblia: (Isizidi dak. 6) fg somo la 5 ¶3-4

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 140

  • “Je, Unaweza Kujaribu kwa Mwaka Mmoja?”: (Dak. 15) Zungumzieni kwa ufupi sehemu hii pamoja na makala yenye kichwa “Ratiba za Upainia wa Kawaida.” Tazameni na mzungumzie video kwenye JW Broadcasting yenye kichwa Chagua Kazi Itakayokunufaisha Milele. (Tafuta kwenye VIDEO ON DEMAND > TEENAGERS.)

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) ia sura ya 19 ¶17-31, sanduku kwenye uku. 170, mambo ya kufikiria kwenye uku. 171

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 123 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki