Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb16 Agosti uku. 2
  • Agosti 1-7

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Agosti 1-7
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
mwb16 Agosti uku. 2

Agosti 1-7

ZABURI 87-91

  • Wimbo 49 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Kaa Mahali pa Siri pa Aliye Juu Zaidi”: (Dak. 10)

    • Zb 91:1, 2—Tunapata ulinzi wa kiroho katika mahali pa siri pa Yehova (w10 2/15 26-27 ¶10-11)

    • Zb 91:3—Kama mwindaji wa ndege, Shetani anajaribu kutunasa (w07 10/1 26-30 ¶1-18)

    • Zb 91:9-14—Yehova ni kimbilio letu (w10 1/15 10 ¶13-14; w01 11/15 19-20 ¶13-19)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Zb 89:34-37—Mistari hii inarejelea agano gani, na Yehova alitumia mfano gani kuonyesha kwamba agano hilo linategemeka? (w14 10/15 10 ¶14; w07 7/15 32 ¶3-4)

    • Zb 90:10, 12—Ni kwa njia gani tunaweza “kuzihesabu siku zetu hivi kwamba tupate kuuingiza moyo wa hekima”? (w06 7/15 13 ¶4; w01 11/15 13 ¶19)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili unanifundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni mambo gani katika usomaji wa Biblia wa juma hili ninayoweza kutumia katika huduma ya shambani?

  • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Zb 90:1-17

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Uwe Tayari Kutoa Machapisho Mwezi Huu: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video za mapendekezo kwa ajili ya utumishi, halafu mzungumzie mambo makuu. Watie moyo wahubiri waandike utangulizi wao. Ikiwa video hizo hazipatikani, panga kuwe na onyesho.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 141

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 5)

  • “Kuboresha Ustadi Wetu Katika Huduma​—Wasaidie Wanafunzi wa Biblia Wajiweke Wakfu na Kubatizwa”: (Dak. 10) Mazungumzo. Tumia maswali yafuatayo kumhoji mhubiri aliyemsaidia mtu afikie hatua ya kujiweka wakfu na kubatizwa. Ulimsaidiaje mwanafunzi huyo ampende Yehova kutoka moyoni? Ulimsaidiaje mwanafunzi wako afikie miradi yake ya kiroho?

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) ia sura ya 21 ¶1-12

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 137 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki