Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb16 Agosti uku. 6
  • Agosti 22-28

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Agosti 22-28
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
mwb16 Agosti uku. 6

Agosti 22-28

ZABURI 106-109

  • Wimbo 2 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Mshukuruni Yehova”: (Dak. 10)

    • Zb 106:1-3​—Yehova anastahili shukrani zetu (w15 1/15 8 ¶1; w02 6/1 18 ¶19)

    • Zb 106:7-14, 19-25, 35-39​—Waisraeli walipoteza uthamini na wakakosa uaminifu (w15 1/15 8-9 ¶2-3; w01 6/15 13 ¶1-3)

    • Zb 106:4, 5, 48​—Tuna sababu nyingi za kumshukuru Yehova (w11 10/15 5 ¶7; w03 12/1 15-16 ¶3-6)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Zb 109:8​—Je, Mungu aliamua mapema kwamba Yuda atamsaliti Yesu ili kutimiza unabii huu? (w00 12/15 24 ¶20; it-1 857-858)

    • Zb 109:31—Ni kwa njia gani Yehova husimama “kwenye mkono wa kuume wa maskini”? (w06 9/1 14 ¶8)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili unanifundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni mambo gani katika usomaji wa Biblia wa juma hili ninayoweza kutumia katika huduma ya shambani?

  • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Zb 106:1-22

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) ll 6​—Weka msingi wa ziara ya kurudia.

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) ll 7​—Weka msingi wa ziara inayofuata.

  • Funzo la Biblia: (Isizidi dak. 6) bh 178-179 ¶14-16​—Msaidie mwanafunzi aone jinsi anavyoweza kutumia habari.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 94

  • Yehova Atatutimizia Mahitaji Yetu (Zb 107:9): (Dak. 15) Mazungumzo. Anza kwa kuonyesha video Yehova Atatutimizia Mahitaji Yetu. (Nenda kwenye tv.jw.org, tafuta kwenye VIDEO ON DEMAND > FAMILY.) Waombe wasikilizaji waeleze mambo waliyojifunza.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) ia sura ya 22 ¶14-24, na mambo ya kufikiria

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 149 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki