Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb16 Agosti uku. 7
  • Agosti 29–Septemba 4

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Agosti 29–Septemba 4
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
mwb16 Agosti uku. 7

Agosti 29–Septemba 4

ZABURI 110-118

  • Wimbo 61 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Nitamlipa Yehova Nini?”: (Dak. 10)

    • Zb 116:3, 4, 8—Yehova alimwokoa mtunga-zaburi kutokana na kifo (w87 3/15 24 ¶5)

    • Zb 116:12​—Mtunga-zaburi alitaka kumshukuru Yehova (w09 7/15 29 ¶4-5; w98 12/1 24 ¶3)

    • Zb 116:13, 14, 17, 18​—Mtunga-zaburi alikuwa ameazimia kutimiza wajibu wake wote mbele za Yehova (w10 4/15 27, sanduku)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Zb 110:4​—‘Kiapo’ kinachotajwa katika mstari huu ni nini? (w14 10/15 11 ¶15-17; w06 9/1 14 ¶1)

    • Zb 116:15​—Wakati wa hotuba ya mazishi, kwa nini mstari huu haupaswi kutumiwa kumhusu aliyekufa? (w12 5/15 22 ¶2)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili unanifundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni mambo gani katika usomaji wa Biblia wa juma hili ninayoweza kutumia katika huduma ya shambani?

  • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Zb 110:1–111:10

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) ll 16​—Weka msingi wa ziara ya kurudia.

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) ll 17​—Weka msingi wa ziara inayofuata.

  • Funzo la Biblia: (Isizidi dak. 6) bh 179-181 ¶17-19​—Msaidie mwanafunzi aone jinsi anavyoweza kutumia habari hiyo.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 82

  • “Fundisha Kweli”: (Dak. 7) Mazungumzo.

  • “Kampeni ya Pekee ya Kusambaza Mnara wa Mlinzi Mwezi wa Septemba”: (Dak. 8) Mazungumzo. Onyesha video ya kwanza ya mapendekezo ya Septemba, kisha mzungumzie mambo makuu. Wachochee wote wawe na hamu ya kushiriki kampeni hiyo, na uwatie moyo wawe mapainia wasaidizi.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) ia sura ya 23 ¶1-14

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 144 na Sala

    Kikumbusho: Tafadhali sikilizeni muziki mara moja kabla ya kuimba.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki