Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb16 Oktoba uku. 3
  • “Moyo Wako Usikengeuke”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Moyo Wako Usikengeuke”
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
  • Habari Zinazolingana
  • Unaweza Kulindaje Moyo Wako?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2019
  • Kuazimia Kumtumikia Yehova kwa Moyo Kamili
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1986
  • Uwe Macho​—Shetani Anataka Kukumeza!
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2015
  • Uongozi Timamu kwa Vijana wa Leo
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1983
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
mwb16 Oktoba uku. 3

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | METHALI 7-11

“Moyo Wako Usikengeuke”

Kijana akitazama nyumba iliyo na mwanamke asiye na maadili

Viwango vya Yehova vinaweza kutulinda. Hata hivyo, ili tufaidike navyo, ni lazima tuvithamini na kuviingiza mioyoni mwetu. (Met 7:3) Mtumishi wa Yehova anaporuhusu moyo wake ukengeushwe, anaweza kunaswa kwa urahisi na mbinu zenye ujanja na zenye udanganyifu za Shetani. Methali sura ya 7 inaeleza kuhusu kijana ambaye aliruhusu moyo wake umkengeushe. Tunaweza kujifunza nini kutokana na makosa yake?

  • Jicho

    Kuona

    7:10

  • Mwanamke akigusa mkono wa mwanamume

    Kugusa

    7:13

  • Mkate na divai

    Kuonja

    7:14

  • Chupa za marashi

    Kunusa

    7:17

  • Mwanamke akimnong’oneza mwanamume

    Kusikia

    7:21

  • Shetani hutushawishi tufanye dhambi kwa kutumia hisi zetu tano akijaribu kutuondoa kwa Yehova

  • Hekima na uelewaji utatusaidia kutambua madhara ya kufanya dhambi na kuepuka kujihatarisha kiroho

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki