Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb16 Desemba uku. 8
  • Desemba 26–Januari 1

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Desemba 26–Januari 1
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
mwb16 Desemba uku. 8

Desemba 26–Januari 1 2017

ISAYA 17-23

  • Wimbo 123 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Kutumia Mamlaka Vibaya Humfanya Mtu Apoteze Mapendeleo”: (Dak. 10)

    • Isa 22:15, 16—Shebna alitumia mamlaka yake kwa ubinafsi (ip-1 238 ¶16-17)

    • Isa 22:17-22—Yehova alimpa Eliakimu mamlaka ya Shebna (ip-1 238-239 ¶17-18)

    • Isa 22:23-25—Mfano wa Shebna unatufunza mambo muhimu (w07 1/15 8 ¶6; ip-1 240-241 ¶19-20)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Isa 21:1—Ni eneo gani lililoitwa “nyika ya bahari,” na kwa nini? (w06 12/1 11 ¶2)

    • Isa 23:17, 18—Faida ya mali ya Tiro ilikuwaje “takatifu kwa Yehova”? (ip-1 253-254 ¶22-24)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili unanifundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni mambo gani katika usomaji wa Biblia wa juma hili ninayoweza kutumia katika huduma ya shambani?

  • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Isa 17:1-14

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) bh—Tumia video Kwa Nini Ujifunze Biblia? kutoa kitabu Biblia Inafundisha. (Zingatia: Usionyeshe video hiyo wakati wa sehemu hii.)

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) bh—Anzisha funzo la Biblia mlangoni kisha weka msingi wa ziara inayofuata.

  • Funzo la Biblia: (Isizidi dak. 6) lv 150-151 ¶10-11—Onyesha jinsi ya kugusa moyo wa mwanafunzi.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 44

  • Je, “Utaendelea Kukesha”?: (Dak. 8) Hotuba itolewe na mzee ikitegemea Mnara wa Mlinzi, Machi 15, 2015, ukurasa wa 12-16. Watie moyo wote waendelee kukesha, kama yule mlinzi kwenye maono ya Isaya na wale mabikira watano katika mfano wa Yesu.—Isa 21:8; Mt 25:1-13.

  • Mambo Yaliyotimizwa na Tengenezo: (Dak. 7) Onyesha video ya Desemba ya Mambo Yaliyotimizwa na Tengenezo.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) kr sura ya 6 ¶1-7, uku. na “Sehemu ya 2—Kuhubiri Kuhusu Ufalme—​Kutangaza Habari Njema Ulimwenguni pote”

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 141 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki