Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb17 Januari uku. 6
  • Januari 23-29

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Januari 23-29
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
mwb17 Januari uku. 6

Januari 23-29

ISAYA 38-42

  • Wimbo 78 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Yehova Anampa Nguvu Mtu Aliyechoka”: (Dak. 10)

    • Isa 40:25, 26—Yehova ndiye Chanzo cha nguvu zote zenye msukumo (ip-1 410 ¶23-25)

    • Isa 40:27, 28—Yehova huona hali ngumu tunazovumilia na ukosefu wa haki tunaokabili (ip-1 413 ¶27)

    • Isa 40:29-31—Yehova huwapa nguvu wanaomtegemea (ip-1 414-415 ¶29-31)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Isa 38:17—Ni katika maana gani Yehova hutupa dhambi zetu nyuma yake? (w03 7/1 17 ¶17)

    • Isa 42:3—Yesu alitimizaje unabii huu? (w15 2/15 8 ¶13)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili unanifundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni mambo gani katika usomaji wa Biblia wa juma hili ninayoweza kushiriki na wengine katika huduma ya shambani?

  • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Isa 40:6-17

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) lc—Weka msingi wa ziara ya kurudia.

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) lc—Weka msingi wa ziara inayofuata.

  • Funzo la Biblia: (Isizidi dak.6) lv 38-39 ¶6-7 —Onyesha jinsi ya kugusa moyo wa mwanafunzi.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 68

  • “Kumbuka Kusali kwa Ajili ya Wakristo Wanaoteswa”: (Dak. 15) Mazungumzo. Anza kwa kuonyesha video yenye kichwa Kusikilizwa Upya kwa Kesi ya Mashahidi wa Yehova Jijini Taganrog—Ukosefu wa Haki Utakwisha Lini?

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) kr sura ya 7 ¶10-18, masanduku “Vipindi Kwenye Kituo cha WBBR na sanduku “Kusanyiko la Kihistoria”

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 9 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki