Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb17 Januari uku. 7
  • Januari 30–Februari 5

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Januari 30–Februari 5
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
mwb17 Januari uku. 7

Januari 30–Februari 5

ISAYA 43-46

  • Wimbo 33 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Yehova Ni Mungu wa Unabii wa Kweli”: (Dak. 10)

    • Isa 44:26-28—Yehova alitabiri kwamba jiji la Yerusalemu na hekalu lake lingejengwa upya, na alisema mapema kuwa Koreshi atashinda Babiloni (ip-2 71-72 ¶22-23)

    • Isa 45:1, 2—Yehova alitaja mambo hususa kuhusu kushambuliwa kwa Babiloni (ip-2 77-78 ¶4-6)

    • Isa 45:3-6—Yehova alieleza kwa nini alimtumia Koreshi kushambulia Babiloni (ip-2 79-80 ¶8-10)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Isa 43:10-12—Waisraeli wangekuwa taifa la mashahidi wa Yehova katika njia gani? (w14 11/15 21-22 ¶14-16)

    • Isa 43:25—Ni sababu gani ya msingi inayomfanya Yehova afute makosa? (ip-2 60 ¶24)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili unanifundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni mambo gani katika usomaji wa Biblia wa juma hili ninayoweza kushiriki na wengine katika huduma ya shambani?

  • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Isa 46:1-13

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) lc—Kumhubiria mfanyakazi au mwanafunzi mwenzako kwa njia isiyo rasmi.

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) lc—Weka msingi wa ziara ya kurudia.

  • Funzo la Biblia: (Isizidi dak. 6) jl somo la 4

MAISHA YA MRISTO

  • Wimbo 143

  • Tunawezaje Kuwa na Hakika Kwamba Yale Yaliyoandikwa Katika Biblia Ni ya Kweli?: (Dak. 15) Onyesha video. Tunawezaje Kuwa na Hakika Kwamba Yale Yaliyoandikwa Katika Biblia Ni ya Kweli? Kisha zungumzieni maswali yafuatayo: Tunaweza kutumiaje video hii tunapohubiri isivyo rasmi, hadharani, na nyumba kwa nyumba? Umepata mambo gani yenye kupendeza ulipotumia video hii?

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) kr sura ya 7 ¶19-23, sanduku “JW.ORG,” chati “Baadhi ya Mbinu Zilizotumiwa Kuwafikia Watu Wengi Sana,” na sanduku la pitio “Ufalme Ni Halisi Kwako Kadiri Gani?”

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 103 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki