Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb17 Februari uku. 3
  • Februari 13-19

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Februari 13-19
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
mwb17 Februari uku. 3

Februari 13-19

ISAYA 52-57

  • Wimbo 148 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Kristo Aliteseka kwa Ajili Yetu”: (Dak. 10)

    • Isa 53:3-5—Alidharauliwa na kupondwa kwa sababu ya makosa yetu (w09 1/15 26 ¶3-5)

    • Isa 53:7, 8—Alidhabihu kwa hiari uhai wake kwa ajili yetu (w09 1/15 27 ¶10)

    • Isa 53:11, 12—Tunaweza kuwa na msimamo wa uadilifu kwa sababu aliendelea kuwa mwaminifu hadi kifo (w09 1/15 28 ¶13)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Isa 54:1—“Mwanamke tasa” anayetajwa kwenye unabii huu ni nani na “wana” wa mwanamke huyo ni nani? (w06 3/15 11 ¶2)

    • Isa 57:15—Ni katika njia gani Yehova ‘anakaa’ pamoja na wale ‘waliopondwa na wenye roho ya unyenyekevu’? (w05 10/15 26 ¶3)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili unanifundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni mambo gani katika usomaji wa Biblia wa juma hili ninayoweza kushiriki na wengine katika huduma ya shambani?

  • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Isa 57:1-11

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) lf—Weka msingi wa ziara ya kurudia.

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) lf 30-31​—Weka msingi wa ziara inayofuata.

  • Funzo la Biblia: (Isizidi dak. 6) bh 14-15 ¶16-17—Ikiwezekana, baba ajifunze pamoja na mwana au binti yake mdogo.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 110

  • “Wasaidie Watoto Wako Wasitawishe Imani Thabiti Katika Muumba”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video Vijana Wenzako Wanasema Nini—Kumwamini Mungu.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) kr sura ya 8 ¶8-13, na chati “Machapisho Yaliyovunja Rekodi za Ulimwengu”

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 107 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki