Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb17 Aprili uku. 4
  • Aprili 10-16

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Aprili 10-16
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
mwb17 Aprili uku. 4

Aprili 10-16

YEREMIA 22-24

  • Wimbo 52 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Je, Una ‘Moyo wa Kumjua’ Yehova?”: (Dak. 10)

    • Yer 24:1-3—Yehova aliwalinganisha watu na tini (w13 3/15 8 ¶2)

    • Yer 24:4-7—Tini nzuri ziliwakilisha watu waliokuwa na moyo msikivu na mtiifu (w13 3/15 8-9 ¶4)

    • Yer 24:8-10—Tini mbaya ziliwakilisha watu waliokuwa na moyo wenye kuasi na usio mtiifu (w13 3/15 8 ¶3)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Yer 22:30—Kwa nini amri hii haikufutilia mbali haki ya Yesu ya kuketi kwenye kiti cha ufalme cha Daudi? (w07 3/15 10-11 ¶9)

    • Yer 23:33—“Mzigo wa Yehova” ni nini? (w07 3/15 11 ¶1)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ulizopata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Yer 23:25-36

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) g17.2 jalada—Weka msingi wa ziara ya kurudia

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) g17.2 jalada—Weka msingi wa ziara inayofuata.

  • Funzo la Biblia: (Isizidi dak. 6) lv 5 ¶1-2—Onyesha jinsi unavyoweza kufikia moyo wa mwanafunzi.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 60

  • “Unaweza Kumtia Moyo Mkristo Asiyetenda”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video Watie Moyo Wale Wasiotenda.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) kr sura ya 11 ¶1-8

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 93 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki