Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb17 Aprili uku. 6
  • Aprili 17-23

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Aprili 17-23
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
mwb17 Aprili uku. 6

Aprili 17-23

YEREMIA 25-28

  • Wimbo 137 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Uwe Jasiri Kama Yeremia”: (Dak. 10)

    • Yer 26:2-6—Yehova alimwagiza Yeremia awatangazie watu ujumbe wa kuonya (w09 12/1 24-25 ¶6)

    • Yer 26:8, 9, 12, 13—Yeremia hakubabaishwa na wapinzani wake (jr 21-22 ¶13)

    • Yer 26:16, 24—Yehova alimlinda nabii wake mwenye ujasiri (w09 12/1 25 ¶1)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak 8)

    • Yer 27:2, 3—Kwa nini huenda wajumbe kutoka mataifa mbalimbali walifika Yerusalemu, na kwa nini Yeremia aliwatengenezea wajumbe hao nira? (jr 27 ¶21)

    • Yer 28:11—Ni kwa njia gani Yeremia alitumia akili Hanania alipompinga, na tunaweza kujifunza nini kutokana na mfano wake? (jr 187-188 ¶11-12)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ulizopata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Yer 27:12-22

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) T-36—Weka msingi wa ziara ya kurudia.

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) T-36—Weka msingi wa ziara inayofuata.

  • Funzo la Biblia: (Isizidi dak. 6) lv 7 ¶4-5—Onyesha jinsi unavyoweza kufikia moyo wa mwanafunzi.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 17

  • “Nyimbo za Ufalme Zinatutia Moyo Tuwe na Ujasiri”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video Wimbo Uliowatia Moyo Wafanyakazi.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) kr sura ya 11 ¶9-21

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 26 na sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki