Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb17 Mei uku. 4
  • Mei 15-21

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mei 15-21
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
mwb17 Mei uku. 4

Mei 15-21

YEREMIA 39-43

  • Wimbo 133 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Yehova Atamlipa Kila Mmoja Kulingana na Kazi Yake”: (Dak. 10)

    • Yer 39:4-7—Sedekia alipatwa na matokeo mabaya kwa kutomtii Yehova (it-2 1228 ¶4)

    • Yer 39:15-18—Yehova alionyesha kwamba alimthamini Ebed-meleki kwa kuwa alimtegemea Mungu (w12 5/1 31 ¶5)

    • Yer 40:1-6—Yehova alimtunza mtumishi wake mwaminifu Yeremia (it-2 482)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Yer 42:1-3; 43:2, 4—Tunaweza kujifunza masomo gani kutokana na kosa la Yohanani? (w03 5/1 10 ¶10)

    • Yer 43:6, 7—Matukio yanayoelezwa katika mistari hii yanamaanisha nini? (it-1 463 ¶4)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo umepata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Yer 40:11–41:3

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Isa 46:10—Fundisha Kweli. Weka msingi wa ziara ya kurudia.

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) Ufu 12:7-9, 12—Fundisha Kweli. Weka msingi wa ziara inayofuata.

  • Funzo la Biblia: (Isizidi dak. 6) bh 153 ¶19-20—Mkaribishe mwanafunzi wa Biblia kwenye mikutano.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 90

  • “Yehova Hawezi Kusahau Upendo Wako” (Zb 71:18): (Dak. 15) Mazungumzo. Anza kwa kuonyesha video Yehova Hawezi Kusahau Upendo Wako.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) kr sura ya 12 ¶16-23, masanduku “‘Tulishangaa’” na “Ziara za Kila Juma Zenye Matokeo,” sanduku la pitio “Ufalme Ni Halisi Kwako Kadiri Gani?”

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 123 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki