Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb17 Juni uku. 5
  • Juni 19-25

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Juni 19-25
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
mwb17 Juni uku. 5

Juni 19-25

EZEKIELI 1-5

  • Wimbo 75 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Ezekieli Alifurahia Kutangaza Ujumbe wa Mungu”: (Dak. 10)

    • [Onyesha video yenye kichwa Utangulizi wa Ezekieli.]

    • Eze 2:9–3:2—Ezekieli alikula kitabu cha kukunjwa cha “nyimbo za huzuni na maombolezo na vilio” (w08 7/15 8 ¶6-7; it-1 1214)

    • Eze 3:3—Ezekieli alithamini kumtumikia Yehova akiwa nabii (w07 7/1 12 ¶3)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Eze 1:20, 21, 26-28—Gari la kimbingu linafananisha nini? (w07 7/1 11 ¶6)

    • Eze 4:1-7—Je, kweli Ezekieli aliigiza kuzingirwa kwa Yerusalemu? (w07 7/1 12 ¶4)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Eze 1:1-14

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) T-32​—Weka msingi wa ziara ya kurudia.

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) T-32​—Onyesha video Utangulizi wa Unaweza Kuwa na Familia Yenye Furaha, na umtolee mwenye-nyumba broshua hiyo.

  • Funzo la Biblia: (Isizidi dak. 6) bh 143 ¶20-21—Onyesha jinsi unavyoweza kufikia moyo wa mwanafunzi.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 153

  • “Furahia Kuhubiri Habari Njema”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video Pata Shangwe Tena kwa Kujifunza na Kutafakari.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) kr sura ya 14 ¶1-7

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 32 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki