Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb17 Juni uku. 6
  • Juni 26–Julai 2

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Juni 26–Julai 2
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
mwb17 Juni uku. 6

Juni 26–Julai 2

EZEKIELI 6-10

  • Wimbo 141 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Je, Utatiwa Alama ya Wokovu?”: (Dak. 10)

    • Eze 9:1, 2—Maono ya Ezekieli yanatufundisha mambo muhimu (w16.06 16-17)

    • Eze 9:3, 4—Wale ambao wamekubali ujumbe unaohubiriwa watatiwa alama ya wokovu pindi fulani wakati wa dhiki kuu

    • Eze 9:5-7—Yehova hatawaangamiza waadilifu pamoja na waovu

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Eze 7:19—Mstari huu unatusaidiaje kujitayarisha kwa ajili ya wakati ujao? (w09 9/15 23 ¶10)

    • Eze 8:12—Mstari huu unaonyeshaje kwamba kukosa imani kunaweza kumwongoza mtu kwenye mwenendo mbaya? (w11 4/15 26 ¶14)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Eze 8:1-12

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Ufu 4:11—Fundisha Kweli.

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) Zb 11:5; 2Ko 7:1—Fundisha Kweli.

  • Funzo la Biblia: (Isizidi dak. 6) bh 127 ¶4-5—Onyesha jinsi ya kugusa moyo.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 64

  • “Dumisha Viwango vya Yehova vya Maadili”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video Uwe Rafiki ya Yehova—Mwanamume Mmoja, Mwanamke Mmoja.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) kr sura ya 14 ¶8-14, sanduku “‘Alikufa kwa Sababu ya Kumheshimu Munguʼ”

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Lijalo (Dak. 3)

  • Wimbo 33 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki