Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb17 Julai uku. 3
  • Julai 10-16

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Julai 10-16
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
mwb17 Julai uku. 3

JULAI 10-16

EZEKIELI 15-17

  • Wimbo 11 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Je, Unatimiza Ahadi Zako?”: (Dak. 10)

    • Eze 17:1-4​—Babiloni ilimwondoa Mfalme Yehoyakini na kumweka Sedekia awe mfalme (w07 7/1 12 ¶6)

    • Eze 17:7, 15​—Sedekia alivunja kiapo chake cha ushikamanifu na kutafuta msaada wa kijeshi kutoka Misri (w07 7/1 12 ¶6)

    • Eze 17:18, 19​—Yehova alitarajia Sedekia atimize mambo aliyoahidi (w12 10/15 30 ¶11; w88 9/15 17 ¶8)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Eze 16:60​—“Agano lenye kudumu” ni nini, na ni nani wahusika wa agano hilo? (w88 9/15 17 ¶7)

    • Eze 17:22, 23​—Ni nani kile “kitawi kichanga” ambacho Yehova alisema angekipandikiza? (w07 7/1 12 ¶6)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Eze 16:28-42

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) wp17.4 jalada​—Weka msingi wa ziara ya kurudia.

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) wp17.4 jalada​—Toa utangulizi wa video Kwa Nini Ujifunze Biblia? kisha uizungumzie (lakini usicheze video hiyo)

  • Funzo la Biblia: (Isizidi dak. 6) fg somo la 11 ¶1-2 ​—Mkaribishe kwenye mikutano.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 36

  • Timiza Nadhiri Yako ya Ndoa Hata Unapohisi Umechoshwa na Ndoa Yako: (Dak. 10) Hotuba itolewe na mzee ikitegemea gazeti la Amkeni! la Machi 2014 ukurasa wa 14-15.

  • Uwe Rafiki ya Yehova​—Sema Kweli: (Dak. 5) Onyesha video Uwe Rafiki ya Yehova​—Sema Kweli. Kisha, waalike watoto uliowachagua mapema waje jukwaani na uwaulize maswali kuhusu video hiyo.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) kr sura ya 15 ¶1-8

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 137 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki