Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb17 Julai uku. 4
  • Julai 17-23

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Julai 17-23
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
mwb17 Julai uku. 4

Julai 17-23

EZEKIELI 18-20

  • Wimbo 21 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Yehova Anaposamehe, Je, Yeye Husahau?”: (Dak. 10)

    • Eze 18:19, 20​—Yehova anamhukumu mtu kulingana na matendo yake (w12 7/1 18 ¶2)

    • Eze 18:21, 22​—Yehova yuko tayari kuwasamehe wale wanaotubu na hatawahukumu au kuwaadhibu kwa sababu ya dhambi alizowasamehe (w12 7/1 18 ¶3-7)

    • Eze 18:23, 32​—Yehova huwaharibu waovu ikiwa tu hakuna njia nyingine (w08 4/1 8 ¶4; w06 12/1 27 ¶11)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Eze 18:29​—Kwa nini Waisraeli walisitawisha mtazamo usiofaa kumhusu Yehova, na tunawezaje kuepuka kosa hilo? (w13 8/15 11 ¶9)

    • Eze 20:49​—Kwa nini watu walifikiri kwamba Ezekieli alikuwa ‘akitunga maneno ya kimethali,’ na hilo linatupatia onyo gani? (w07 7/1 14 ¶3)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Eze 20:1-12

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) 1Yo 5:19​—Fundisha Kweli. Weka msingi wa ziara ya kurudia.

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) Mwa 3:2-5​—Fundisha Kweli. Weka msingi wa ziara inayofuata. (Ona mwb16.08 8 ¶2.)

  • Hotuba: (Isizidi dak. 6) w16.05 32​—Kichwa: Kutaniko Linaweza Kuonyeshaje Shangwe Tangazo la Kurudishwa kwa Mtu Aliyetengwa na Ushirika Linapotolewa?

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 77

  • “Je, Wewe Hujisamehe?”: (Dak. 10) Mazungumzo. Anza kwa kucheza video Uwe Mshikamanifu kwa Hukumu za Yehova​—Uwe Mwenye Kusamehe.

  • Vijana Huuliza​—Nifanye Nini Ninapokosea?: (Dak  5) Mazungumzo yanayotegemea makala “Vijana Huuliza​—Nifanye Nini Ninapokosea?” Anza kwa kucheza rekodi ya sauti ya sehemu yenye kichwa “Wewe Ungefanya Nini?”

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) kr sura ya 15 ¶9-​17

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 38 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki