Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb17 Julai uku. 7
  • Julai 31–Agosti 6

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Julai 31–Agosti 6
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
mwb17 Julai uku. 7

Julai 31–Agosti 6

EZEKIELI 24-27

  • Wimbo 118 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Unabii Kuhusu Tiro Unaimarisha Imani Yetu Katika Neno la Yehova”: (Dak. 10)

    • Eze 26:3, 4​—Zaidi ya miaka 250 mapema, Yehova alitabiri kwamba Tiro lingeharibiwa (si 133 ¶4)

    • Eze 26:7-11​—Ezekieli alitaja jina la taifa la kwanza na la kiongozi ambaye angevamia Tiro (ce 216 ¶3)

    • Eze 26:4, 12​—Ezekieli alitabiri kwamba kuta, nyumba, na mavumbi ya Tiro yangetupwa ndani ya maji (it-1 70)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Eze 24:6, 12​—Kutu ya chungu cha kupikia inafananisha nini? (w07 7/1 14 ¶2)

    • Eze 24:16, 17​—Kwa nini Ezekieli hakupaswa kuomboleza mke wake alipokufa? (w88 9/15 21 ¶24)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Eze 25:1-11

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Trakti yoyote​—Weka msingi wa ziara ya kurudia.

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) Trakti yoyote​—Toa utangulizi wa video Ni Nini Hutendeka Kwenye Funzo la Biblia kisha uizungumzie (lakini usicheze video hiyo).

  • Funzo la Biblia: (Isizidi dak. 6) bh 23 ¶13-15​—Mkaribishe kwenye mikutano.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 139

  • Imani Katika Neno la Mungu Hutusaidia Kuvumilia Majaribu: (Dak. 15) Mazungumzo yanayotegemea maandiko kama vile Isaya 33:24; 65:21, 22; Yohana 5:28, 29; na Ufunuo 21:4. Cheza video Kuthamini Baraka za Utawala wa Ufalme. Watie moyo wote wajiwazie wakiwa katika ulimwengu mpya, hasa wanapovunjwa moyo na matatizo.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) kr sura ya 15 ¶29-36, sanduku la pitio “Ufalme Ni Halisi Kwako Kadiri Gani?”

  • Pitia Mambo Makuu Mliyojifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 134 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki