Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb17 Agosti uku. 4
  • Agosti 14-20

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Agosti 14-20
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
mwb17 Agosti uku. 4

Agosti 14-​20

EZEKIELI 32-​34

  • Wimbo 60 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Mlinzi Ana Daraka Zito”: (Dak. 10)

    • Eze 33:7​—Yehova alimweka rasmi Ezekieli kuwa mlinzi (it-2 1172 ¶2)

    • Eze 33:​8, 9​—Mlinzi aliepuka kuwa na hatia ya damu kwa kutoa onyo (w88 1/1 28 ¶13)

    • Eze 33:​11, 14-​16​—Yehova atawahifadhi hai wale wanaotii onyo (w12 3/15 15 ¶3)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Eze 33:​32, 33​—Kwa nini tunapaswa kuendelea kuhubiri licha ya ubaridi? (w91 3/15 17 ¶16-​17)

    • Eze 34:23​—Mstari huu umetimizwaje? (w07 4/1 26 ¶3)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Eze 32:​1-16

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) g17.4 jalada​—Weka msingi wa ziara ya kurudia.

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) g17.4 jalada​—Mkaribishe kwenye mikutano.

  • Funzo la Biblia: (Isizidi dak. 6) fg somo la 2 ¶9-10​—Onyesha jinsi ya kugusa moyo.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 47

  • “Sitawisha Sifa Zinazompendeza Mungu​—Ujasiri”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Epuka Mambo Yanayoharibu Ushikamanifu​—Kuwahofu Wanadamu.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) kr sura ya 16 ¶6-​17

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 86 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki