Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb17 Agosti uku. 6
  • Agosti 21-27

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Agosti 21-27
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
mwb17 Agosti uku. 6

Agosti 21-​27

EZEKIELI 35-​38

  • Wimbo 149 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Gogu wa Magogu Ataharibiwa Hivi Karibuni”: (Dak. 10)

    • Eze 38:2​—Jina Gogu wa Magogu linawakilisha muungano wa mataifa (w15 5/15 29-​30)

    • Eze 38:​14-16​—Gogu wa Magogu atawashambulia watu wa Yehova (w12 9/15 5-6 ¶8-9)

    • Eze 38:21-23​—Yehova Mungu atajitukuza na kujitakasa kwa kumharibu Gogu wa Magogu (w14 11/15 27 ¶16)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Eze 36:​20, 21​—Ni sababu gani ya msingi ya kudumisha mwenendo mzuri? (w02 6/15 20 ¶12)

    • Eze 36:33-36​—Maneno haya yametimizwaje katika nyakati za kisasa? (w88 9/15 24 ¶11)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Eze 35:1-15

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Zb 37:29​—Fundisha Kweli.

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) Mwa 1:28; Isa 55:11​—Fundisha Kweli.

  • Hotuba: (Isizidi dak. 6) w16.07 31-32​—Kichwa: Ni Nini Maana ya Kuunganisha Vijiti Viwili?

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 119

  • “Sitawisha Sifa Zinazompendeza Mungu​—Imani”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Fuatilia Mambo Yanayojenga Ushikamanifu​—Imani.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) kr sura ya 16 ¶18-24, sanduku “Kuimba Kuhusu Kweli,” sanduku la pitio “Ufalme Ni Halisi Kwako Kadiri Gani?”

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 87 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki