Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb17 Agosti uku. 7
  • Agosti 28–Septemba 3

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Agosti 28–Septemba 3
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
mwb17 Agosti uku. 7

Agosti 28–Septemba 3

EZEKIELI 39-​41

  • Wimbo 24 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Maono ya Hekalu la Ezekieli Yanakuhusuje?”: (Dak. 10)

    • Eze 40:2​—Ibada ya Yehova imeinuliwa juu zaidi ya aina nyingine yoyote ya ibada (w99 3/1 11 ¶16)

    • Eze 40:3, 5​—Yehova atatimiza kusudi lake kuhusu ibada safi (w07 8/1 10 ¶2)

    • Eze 40:10, 14, 16​—Tunapaswa kuishi kupatana na viwango vya juu na vya unyoofu vya Yehova ili tumwabudu kwa njia inayokubalika (w07 8/1 11 ¶5)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Eze 39:7​—Wanadamu wanapomlaumu Mungu kwa ukosefu wa haki, wanalitia unajisi jina lake kwa njia gani? (w12 9/1 21 ¶2)

    • Eze 39:9​—Baada ya Har–Magedoni, vifaa vya vita vitakavyoachwa na mataifa vitashughulikiwaje? (w89 8/15 14 ¶20)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Eze 40:​32-​47

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) fg somo la 1 ¶1​—Anza kwa kutoa utangulizi wa video Je, Ungependa Kupata Habari Njema? (lakini usionyeshe video). Toa broshua.

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) fg somo la 1 ¶2​—Weka msingi wa ziara inayofuata.

  • Funzo la Biblia: (Isizidi dak. 6) fg somo la 1 ¶3-4

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 53

  • “Ninaweza Kufanya Upainia Msaidizi Lini Tena?”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video Kwa Msaada wa Yehova, Ninaweza Kufanya Jambo Lolote.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) kr sura ya 17 ¶1-9

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 67 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki