Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb17 Oktoba uku. 2
  • Oktoba 2-8

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Oktoba 2-8
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
mwb17 Oktoba uku. 2

Oktoba 2-8

DANIELI 7-9

  • Wimbo 95 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Unabii wa Danieli Ulitabiri Kutokea kwa Masihi”: (Dak. 10)

    • Da 9:24—Dhabihu ya Masihi ilifungua njia ya kupata msamaha wa dhambi (it-2 902 ¶2)a

    • Da 9:25​—Masihi alitokea mwishoni mwa juma la 69 la miaka (it-2 900 ¶7)

    • Da 9:26, 27a​—Masihi aliuawa katikati ya juma la 70 la miaka (it-2 901 ¶2, 5)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Da 9:24​—“Patakatifu pa Patakatifu” palitiwa mafuta lini? (w01 5/15 27)

    • Da 9:27​—Ni agano gani lililoendelea kutendeshwa kwa ajili ya wengi mpaka mwishoni mwa juma la 70 la miaka, au mwaka wa 36 W.K.? (w07 9/1 20 ¶4)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Da 7:1-10

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Uwe Tayari Kutoa Machapisho Mwezi Huu: (Dak. 15) Mazungumzo yanayotegemea Mapendekezo kwa Ajili ya Utumishi. Onyesha video za mapendekezo, halafu mzungumzie mambo makuu. Watie moyo wahubiri wafuatilie haraka watu wanaoonyesha upendezi. Ikiwa video hizo hazipatikani, panga kuwe na onyesho.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 78

  • “Jinsi ya Kuwa Mwanafunzi Mwenye Bidii wa Maandiko”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video Vifaa vya Utafiti Vinavyotusaidia Kupata Hazina za Kiroho.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) kr sura ya 19 ¶1-7, masanduku “Kanisa la Nuru Mpya” na “Kujenga Ofisi za Tawi Kulingana na Mahitaji”

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 101 na Sala

a Ufupisho wa Machapisho: it = Insight on the Scriptures; w = Mnara wa Mlinzi; kr = Ufalme wa Mungu Unatawala!; dp = Sikiliza Unabii wa Danieli; g = Amkeni!; lv = Jitunzeni Katika Upendo wa Mungu; jd = Izingatie Siku ya Yehova Maishani; T-35 = Je, Kweli Wafu Wataishi Tena?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki