Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb17 Desemba uku. 2
  • Desemba 4-10

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Desemba 4-10
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
mwb17 Desemba uku. 2

Desemba 4-10

SEFANIA 1–HAGAI 2

  • Wimbo 27 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Mtafuteni Yehova Kabla ya Siku Yake ya Hasira”: (Dak. 10)

    • [Onyesha video yenye kichwa Utangulizi wa Sefania.]

    • Sef 2:2, 3—Mtafuteni Yehova, utafuteni uadilifu, utafuteni upole (w01 2/15 18-19 ¶5-7)a

    • [Onyesha video yenye kichwa Utangulizi wa Hagai.]

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Sef 1:8—Ni onyo gani tunalopata katika mstari huu? (w07 11/15 11 ¶3)

    • Hag 2:9—Ni katika njia gani utukufu wa hekalu la Zerubabeli ulikuwa mkubwa kuliko wa hekalu la Sulemani? (w07 12/1 9 ¶3)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Hag 2:1-14

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Uwe Tayari Kutoa Machapisho Mwezi Huu: (Dak. 15) Mazungumzo yanayotegemea “Mapendekezo kwa Ajili ya Utumishi.” Onyesha video za mapendekezo, halafu mzungumzie mambo makuu. Ikiwa video hizo hazipatikani, panga kuwe na onyesho. Watie moyo wahubiri wajitahidi kugawa gazeti la Amkeni! Na. 6 2017 kwa wingi. Hata hivyo, kwa kuwa tunatamani kuzungumza moja kwa moja na watu, hatupaswi kuacha gazeti hilo mahali ambapo hatuwakuti watu nyumbani.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 23

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 5)

  • Lugha Safi Hutokeza Amani na Umoja (Sef 3:9): (Dak. 10) Mazungumzo yanayotegemea Mnara wa Mlinzi la Agosti 15, 2012 ukurasa wa 12, fungu la 4. Onyesha video Waliokuwa Maadui Wakali Sasa Ni Marafiki.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) kr sura ya 22 ¶8-16

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 22 na Sala

a Ufupisho wa Machapisho: w = Mnara wa Mlinzi; yb17 = Kitabu cha Mwaka—2017; kr = Ufalme wa Mungu Unatawala!; g = Amkeni!; fg = Habari Njema Kutoka kwa Mungu; jl = Ni Nani Wanaofanya Mapenzi ya Yehova Leo; jy = Yesu—Njia, Kweli, na Uzima; jd = Izingatie Siku ya Yehova Maishani; mwb = Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki