Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Aprili uku. 2
  • Aprili 2-8

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Aprili 2-8
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Aprili uku. 2

Aprili 2-8

MATHAYO 26

  • Wimbo 19 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Pasaka na Ukumbusho—Zina Ulinganifu Gani? Zinatofautianaje?”: (Dak. 10)

    • Mt 26:17-20—Yesu alikula Pasaka ya mwisho pamoja na wanafunzi wake (“Mlo wa Pasaka” picha Mt 26:18, nwtsty)a

    • Mt 26:26—Mkate wa Ukumbusho unawakilisha mwili wa Yesu (“unamaanisha” habari za utafiti Mt 26:26, nwtsty)

    • Mt 26:27, 28—Divai ya Ukumbusho inawakilisha “damu [ya Yesu] ya agano” (“damu . . . ya agano” habari za utafiti Mt 26:28, nwtsty)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Mt 26:17—Kwa nini Nisani 13 ilirejelewa kuwa “siku ya kwanza ya Sherehe ya Mikate Isiyo na Chachu”? (“Siku ya kwanza ya Sherehe ya Mikate Isiyo na Chachu” habari za utafiti Mt 26:17, nwtsty)

    • Mt 26:39—Huenda ni nini kilimchochea Yesu asali: “Niondolee kikombe hiki”? (“niondolee kikombe hiki” habari za utafiti Mt 26:39, nwtsty)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Mt 26:1-19

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kwanza: (Dak. 4) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

  • Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo.

  • Funzo la Biblia: (Lisizidi dak. 6) bhs 59 ¶21-22 na maelezo ya ziada

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 20

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 8)

  • Uwe Rafiki ya Yehova—Fidia: (Dak. 7) Onyesha video. Kisha, waalike jukwaani watoto uliowachagua mapema, na uwaulize maswali yafuatayo: Kwa nini watu huwa wagonjwa, wanazeeka, na kufa? Yehova ametupatia tumaini gani? Ungependa kukutana na nani katika Paradiso?

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 15

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 74 na Sala

a Ufupisho wa Machapisho: nwtsty = Toleo la Funzo la Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya; bhs = Biblia Inatufundisha Nini?; jy = Yesu—Njia, Kweli, na Uzima; w = Mnara wa Mlinzi—Toleo la Funzo; g = Amkeni!

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki