Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Julai uku. 3
  • Julai 9-15

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Julai 9-15
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Julai uku. 3

Julai 9-15

LUKA 8-9

  • Wimbo 13 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Njoo, Uwe Mfuasi Wangu​—Unahitaji Kufanya Nini?” (Dak. 10)

    • Lu 9:57, 58—Wote wanaomfuata Yesu wanapaswa kumtegemea Yehova (it-2 494)

    • Lu 9:59, 60—Wale wanaomfuata Yesu wanatanguliza Ufalme wa Mungu maishani mwao (“nikamzike baba yangu,” “Waache wafu wawazike wafu wao” habari za utafiti Lu 9:59, 60, nwtsty)

    • Lu 9:61, 62—Wale wanaomfuata Yesu hawawezi kujiruhusu wakengeushwe na vitu vya ulimwengu (“Kulima kwa plau” picha Lu 9:62, nwtsty; w12 4/15 15-16 ¶11-13)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Lu 8:3—Wakristo hao walikuwa “wakiwahudumia” Yesu na mitume kwa njia gani? (“waliokuwa wakiwahudumia” habari za utafiti Lu 8:3, nwtsty)

    • Lu 9:49, 50—Kwa nini Yesu hakumzuia mtu fulani asifukuze roho waovu, ijapokuwa mtu huyo hakuwa akimfuata? (w08 3/15 31 ¶2)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Lu 8:1-15

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo.

  • Video ya Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Dak. 5) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

  • Hotuba: (Isizidi dak. 6) w12 3/15 27-28 ¶11-15 —Kichwa: Je, Tunapaswa Kujuta kwa Sababu Tulijidhabihu kwa Njia Fulani kwa Ajili ya Ufalme?

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 124

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 15)

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 28, sanduku “Mifano Kuhusu Kufunga”

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 110 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki