Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Julai uku. 4
  • Julai 16-22

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Julai 16-22
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Julai uku. 4

Julai 16-22

LUKA 10-11

  • Wimbo 100 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Mfano wa Msamaria Mwema”: (Dak. 10)

    • Lu 10:29-32—Kuhani na Mlawi walipita bila kumsaidia Myahudi mwenzao aliyevamiwa na wezi [Onyesha video “Barabara Kutoka Yerusalemu Kwenda Yeriko” video kwenye Lu 10:30, nwtsty.] (w02 9/1 16-17 ¶14-15)

    • Lu 10:33-35—Msamaria alimwonyesha mtu huyo aliyevamiwa upendo wa pekee (“msamaria fulani,” “akayamwagia majeraha yake mafuta na divai, kisha akayafunga,” “nyumba ya wageni” habari za utafiti Lu 10:33, 34, nwtsty)

    • Lu 10:36, 37—Tunapaswa kuwaonyesha watu wote upendo, si watu walio na hali ya kiuchumi, rangi, kabila, au taifa letu tu (w98 7/1 31 ¶2)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Lu 10:18—Yesu alikuwa akirejelea nini alipowaambia hivi wale wanafunzi 70: “Ninamwona Shetani akiwa tayari ameanguka kutoka mbinguni kama radi”? (“Ninamwona Shetani akiwa tayari ameanguka kutoka mbinguni kama radi” habari za utafiti Lu 10:18, nwtsty; w08 3/15 31 ¶11)

    • Lu 11:5-9—Mfano kuhusu mwanamume aliyeendelea kupiga hodi unatufundisha nini kuhusu kusali? (“Rafiki, nikopeshe mikate mitatu,” “Acha kunisumbua,” “anaendelea kumwomba” habari za utafiti Lu 11:5-9, nwtsty)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Lu 10:1-16

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Mwenye nyumba anatokeza kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu.

  • Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Mwenye nyumba anakujulisha kwamba alikuwa ameanza kula.

  • Video ya Ziara ya Kurudia ya Pili: (Dak. 5) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 24

  • “Kwa Nini Kutounga Mkono Upande Wowote Ni Muhimu? (Mik 4:2)”: (Dak. 15) Onyesha video kisha zungumzeni kuihusu.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 29

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 146 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki