Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Agosti uku. 2
  • Agosti 6-12

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Agosti 6-12
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Agosti uku. 2

Agosti 6-12

LUKA 17-18

  • Wimbo 18 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Onyesheni Shukrani”: (Dak. 10)

    • Lu 17:11-14—Yesu aliwaponya wanaume kumi wenye ukoma (“wanaume kumi wenye ukoma” habari za utafiti Lu 17:12, nwtsty; “mkajionyeshe kwa makuhani” habari za utafiti Lu 17:14, nwtsty)a

    • Lu 17:15, 16—Ni mmoja tu kati ya wanaume hao wenye ukoma aliyerudi kumshukuru Yesu

    • Lu 17:17, 18—Simulizi hilo linakazia umuhimu wa kuonyesha shukrani (w08 8/1 14-15 ¶8-9)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Lu 17:7-10—Ni nini jambo kuu la mfano wa Yesu? (“wasiofaa kitu” habari za utafiti Lu 17:10, nwtsty)

    • Lu 18:8—Yesu anazungumza kuhusu aina gani ya imani katika mstari huu? (“imani hii” habari za utafiti Lu 18:8, nwtsty)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Lu 18:24-43

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kwanza: (Dak. 4) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

  • Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo.

  • Funzo la Biblia: (Lisizidi dak. 6) fg somo la 4 ¶1-2

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 39

  • “Mkumbuke Mke wa Loti”: (Dak. 15) Mazungumzo.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 32

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 117 na Sala

a Ufupisho wa Machapisho: nwtsty = Toleo la Funzo la Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya; w = Mnara wa Mlinzi; fg = Habari Njema Kutoka kwa Mungu; jy = Yesu—Njia, Kweli, na Uzima; kr= Ufalme wa Mungu Unatawala; cl = Mkaribie Yehova; g = Amkeni!

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki