Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Agosti uku. 4
  • Agosti 13-19

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Agosti 13-19
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Agosti uku. 4

Agosti 13-19

LUKA 19-20

  • Wimbo 84 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Jifunze Kutokana na Mfano wa Zile Mina Kumi”: (Dak. 10)

    • Lu 19:12, 13—“Mtu fulani wa familia mashuhuri” aliwaambia watumwa wake wafanye biashara mpaka atakaporudi (jy 232 ¶2-4)

    • Lu 19:16-19—Watumwa waaminifu walikuwa na uwezo tofauti, lakini kila mmoja wao alipokea thawabu (jy 232 ¶7)

    • Lu 19:20-24—Mtumwa mwovu ambaye hakufanya kazi alipata hasara (jy 233 ¶1)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Lu 19:43—Maneno hayo ya Yesu yalitimizwaje? (“ngome yenye miti iliyochongoka” habari za utafiti Lu 19:43, nwtsty)

    • Lu 20:38—Maneno ya Yesu yanaimarishaje uhakika wetu katika ufufuo? (“kwa maana kwake, wote wako hai” habari za utafiti Lu 20:38, nwtsty)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Lu 19:11-27

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo.

  • Video ya Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Dak. 5) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

  • Hotuba: (Isizidi dak. 6) w14 8/15 29-30—Kichwa: Je, Maneno ya Yesu Yaliyo Kwenye Luka 20:34-36 Yanarejelea Ufufuo wa Kidunia?

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 83

  • “Kuboresha Ustadi Wetu Katika Huduma—Kutumia JW.ORG”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 33

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 116 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki