Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Septemba uku. 4
  • Septemba 17-23

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Septemba 17-23
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Septemba uku. 4

Septemba 17-23

YOHANA 5-6

  • Wimbo 2 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Mfuate Yesu Ukiwa na Nia Nzuri”: (Dak. 10)

    • Yoh 6:9-11—Yesu aliulisha umati mkubwa kimuujiza (“watu wakaketi, karibu wanaume 5,000” habari za utafiti Yoh 6:10, nwtsty)

    • Yoh 6:14, 24—Watu walifikia mkataa kwamba Yesu alikuwa Masihi na wakamtafuta siku iliyofuata (“Nabii” habari za utafiti Yoh 6:14, nwtsty)

    • Yoh 6:25-27, 54, 60, 66-69—Kwa sababu nia ya watu hao ya kushirikiana na Yesu na wanafunzi wake haikuwa nzuri, walikwazwa na maneno ya Yesu (“chakula kinachoharibika . . . chakula kinachodumu kufikia uzima wa milele” habari za utafiti Yoh 6:27, nwtsty; “akila mwili wangu na kunywa damu yangu” habari za utafiti Yoh 6:54, nwtsty; w05 9/1 21 ¶13-14)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Yoh 6:44—Baba anawavutaje watu kwake? (“amvute” habari za utafiti Yoh 6:44, nwtsty)

    • Yoh 6:64—Ni katika maana gani Yesu alijua “tangu mwanzo” kwamba Yuda atamsaliti? (“Yesu [alijua] . . . yule ambaye angemsaliti,” “tangu mwanzo” habari za utafiti Yoh 6:64, nwtsty)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Yoh 6:41-59

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Mwenye nyumba anatokeza kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu.

  • Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Mwenye nyumba anakuambia kwamba yeye ni Mkristo.

  • Video ya Ziara ya Kurudia ya Pili: (Dak. 5) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 31

  • Je, Ulifaulu? (Dak. 5) Mazungumzo. Waalike wasikilizaji wasimulie mambo waliyoona walipojaribu kuanzisha mazungumzo yaliyoongoza kwenye kutoa ushahidi.

  • “Hakuna Kilichopotea”: (Dak. 10) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Ujenzi Usioharibu Mazingira Unamtukuza Yehova—Kisehemu.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 35 ¶28-36

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 89 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki