Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Novemba uku. 2
  • Novemba 5-11

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Novemba 5-11
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Novemba uku. 2

Novemba 5-11

YOHANA 20-21

  • Wimbo 35 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Je, Unanipenda Kuliko Hawa?”: (Dak. 10)

    • Yoh 21:1-3—Baada ya Yesu kufa, Petro na wanafunzi wengine walirudia kazi ya uvuvi

    • Yoh 21:4-14—Yesu aliyefufuliwa aliwatokea Petro na wanafunzi wengine

    • Yoh 21:15-19—Yesu alimsaidia Petro aelewe mambo ya kutanguliza (“Yesu akamuuliza Simoni Petro” na “je, unanipenda kuliko hawa?” habari za utafiti Yoh 21:15, nwtsty; “mara ya tatu” habari za utafiti Yoh 21:17, nwtstya)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Yoh 20:17—Maneno ambayo Yesu alimwambia Maria Magdalene yanamaanisha nini? (“Acha kuning’ang’ania” habari za utafiti Yoh 20:17, nwtsty)

    • Yoh 20:28—Kwa nini Tomasi alimwita Yesu “Bwana wangu na Mungu wangu”? (“Bwana wangu na Mungu wangu!” habari za utafiti Yoh 20:28, nwtsty)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Yoh 20:1-18

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kwanza: (Dak. 4) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

  • Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo.

  • Funzo la Biblia: (Lisizidi dak. 6) bhs 79 ¶21-22.​—Mwalike mwenye nyumba kwenye mkutano.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 37

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 15)

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 42

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 45 na Sala

a Ufupisho wa Machapisho: nwtsty = Toleo la Funzo la Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya; bhs =Biblia Inatufundisha Nini?; jy = Yesu—Njia, Kweli, na Uzima; w = Mnara wa Mlinzi; it = Insight on the Scriptures; cl = Mkaribie Yehova; bt = “Kutoa Ushahidi Kamili” Kuhusu Ufalme wa Mungu; lvs = Dumu Katika Upendo wa Mungu

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki