Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Novemba uku. 4
  • Novemba 19-25

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Novemba 19-25
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Novemba uku. 4

Novemba 19-25

MATENDO 4-5

  • Wimbo 73 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Waliendelea Kutangaza Neno la Mungu kwa Ujasiri”: (Dak. 10)

    • Mdo 4:5-13—Ingawa walikuwa “watu wasio na elimu na wa kawaida tu,” Petro na Yohana hawakujizuia kutetea imani yao mbele ya wafalme, na waandishi (w08 9/1 15, sanduku; w08 5/15 30 ¶6)

    • Mdo 4:18-20—Licha ya vitisho, Petro na Yohana hawakuacha kuhubiri

    • Mdo 4:23-31—Wakristo wa karne ya kwanza walitegemea roho takatifu ya Yehova ili wapate ujasiri (it-1 128 ¶3)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Mdo 4:11—Ni katika maana gani Yesu ndiye “jiwe kuu la pembeni”? (it-1 514 ¶4)

    • Mdo 5:1—Kwa nini Anania na Safira waliuza baadhi ya mali zao? (w13 3/1 15 ¶4)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Mdo 5:27-42

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Mwenye nyumba anatokeza kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu.

  • Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Mwenye nyumba anakuambia yeye si Mkristo.

  • Video ya Ziara ya Kurudia ya Pili: (Dak. 5) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 82

  • “Manufaa ya Ulimwenguni Pote ya Kuhubiri kwa Kutumia Vigari”: (Dak. 15) Mazungumzo na mwangalizi wa utumishi. Onyesha video. Ikiwa kutaniko lenu linahusika katika mahubiri ya hadharani, waonyeshe wasikilizaji kigari au meza yenyewe. Taja mipango iliyopo katika eneo lenu. Muda ukiruhusu, simulia au uonyeshe jambo zuri lililoonwa katika eneo lenu. Eleza jinsi wahubiri wanavyoweza kushiriki.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 43 ¶8-18

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 64 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki